TAKUKURU YAWATAKA HANS POPPE NA LAUWO KUJISALIMISHA WAJUMUISHWE KWENYE KESI YA AKINA AVEVA NA KABURU - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAKUKURU YAWATAKA HANS POPPE NA LAUWO KUJISALIMISHA WAJUMUISHWE KWENYE KESI YA AKINA AVEVA NA KABURU

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
NAIBU Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Brigedia Jenerali John Julius Mbungo amewataka mfanyabiashara Zacharia Hans Poppe na Mhandisi Frank Lauwo ambao kujisalimisha baada ya kutafutwa kwa muda mrefu.
Wawili hao wanatakiwa ili kujumuishwa katika katika kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa klabu ya Simba SC, aliyekuwa Rais, Evans Aveva na Makamu wake, Godfrey Nyange maarufu Kaburu au kuifuta kesi hiyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mchana mjini Dar es Salaam, Brigedia Jenerali Mbungo amesema atakayesaidia kupatikana kwa wawili hao atapatiwa zawadi.
Jenerali Mbungo alisema kwamba Hans Poppe yeye alitoa taarifa za uongo kwenye Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwamba Simba SC walinunua nyasi za bandia kutoka kampuni moja ya China kwa thamani ya dola za Kimarekani 40,0577 wakati si kweli. 


“Lakini uhalisia kamili ni kwamba, zile nyasi zilinunuliwa kwa dola 109,499. Nia hapa ilikuwa ni kutolipwa mapat... Continue reading ->Source: Bin ZuberyRead More