Takwimu kuelekea Simba vs AS Vita - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Takwimu kuelekea Simba vs AS Vita

Simba ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania bara, imecheza mechi 20 na kufanikiwa kuvuna pointi 51, ipo nyuma kwa mechi 7 dhidi ya timu inayoongoza ligi (Yanga). Katika mechi 20 imeshinda 16, sare 3 na kupoteza mechi 1.

.

.

Matokeo ya Simba kwenye mechi 5 zilizopita (Ligi kuu Tanzania bara na Champions League).

.

African Lyon 0-3 Simba

Azam 1-3 Simba

Lipuli 1-3 Simba

Stand United 0-2 Simba

Saoura 2-0 Simba

.

.

AS Vita Club inaongoza ligi yenye timu 16 ikiwa imecheza mechi 23, imeshinda michezo 20, sare 2 na kupoteza mchezo mmoja. Ina pointi 62.

.

.

Matokeo ya Vita Club kwenye mechi 5 zilizopita (Ligue 1 na Champions League)


Vita Club 2-0 AS Dragons

Saint Eloi Lupopo 1-2 Vita Club

Via Club 3-0 Maniema Union

Vita Club 3-0 TP Mazembe

Vita Club 1-0 Al Ahly


Source: Shaffih DaudaRead More