Takwimu na nafasi ya Man United kundi H michuano ya UEFA kabla ya mchezo wa leo,Mourinho asema “Mchezo wa leo sio kipaumbele kwangu” - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Takwimu na nafasi ya Man United kundi H michuano ya UEFA kabla ya mchezo wa leo,Mourinho asema “Mchezo wa leo sio kipaumbele kwangu”

Leo usiku kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka ambako Manchester United wataifuata Juventus katika jiji la Torino kwenda kukamilisha mchezo wao wa pili ikiwa mchezo wa kwanza United alipoteza nyumbani kwao katika dimba la Old Trafford kwa kupigwa goli 1-0.Ikumbukwe kwamba, Juventus mpaka sasa haijaruhusu bao lolote kwenye nyavu zao na wana alama 9. Wana uhakika wa kufuzu. Shida ipo hapa kwenye nafasi ya pili. United vs Valencia.

United wasipokuwa makini huenda wakakwama endapo mchezo wao leo huko Turin watakosa alama yoyote.Hizi ni Takwimu za United vs Juventus:-Source: Bongo5Read More


About Us

Presstz is a platform that brings together content from selected sources and places them on one portal, The content may vary from breaking news,entertainment posts, music videos, sports highlights, fashion trends etc from Tanzania and accross the globe.


Get the PressTZ Android app on Google Play

Contact us

Date Match Result Score Competition
20 Oct 1976 Manchester United v Juventus W 1-0 UEFA Cup
03 Nov 1976 Juventus v Manchester United L 3-0 UEFA Cup
11 Apr 1984 Manchester United v Juventus D 1-1 UEFA European Cup Winners Cup
25 Apr 1984 Juventus v Manchester United L 2-1 UEFA European Cup Winners Cup
11 Sep 1996 Juventus v Manchester United L 1-0 UEFA Champions League
20 Nov 1996 Manchester United v Juventus L 0-1 UEF... Continue reading ->