Takwimu zilizomuwezesha Aguero kushinda tuzo ya tano EPL - Millard Ayo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Takwimu zilizomuwezesha Aguero kushinda tuzo ya tano EPL

Staa wa soka wa kimataifa wa Argentina anayecheza Man City ya England Sergio Aguero February 16 2018 ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu England EPL, hiyo ikiwa ni mara ya tano kwa yeye kushinda tuzo hiyo katika maisha yake ya soka. Aguero ametangazwa mchezaji bora wa Ligi Kuu England wa mwezi January […]


Source: Millard AyoRead More