TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA NI LA WAZANZIBAR WOTE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA NI LA WAZANZIBAR WOTE

Mwenyekiti wa Bodi ya Busara Promotions, Simai Mohammed Said akizungumza katika mkutano huo wa waandishi wa habari (hawapo pichani). Kulia kwake ni Balozi wa wa Uswis nchini Bi. Tinguely Mattli na kushoto kwake ni Mwakilishi wa Balozi wa Norway nchini na Mkuu wa Idara ya Ushirikiano, Trygve Bendiksby.Mwakilishi wa Balozi wa Norway nchini na Mkuu wa Idara ya Ushirikiano, Trygve Bendiksby akizungumza katika tukio na waandishi wa habari leo kwa waandishi wa habari mjini Unguja, Zanzibar. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Busara Promotions, Simai Mohammed Said, akifuatiwa na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Bi. Tinguely Mattli mwishoni kulia ni Mkurugenzi wa Busara Promotions, Mahmoud Yusuf, kushoto ni Meneja wa tamasha hilo, Ramadhani Journey.Mwenyekiti wa Bodi ya Busara Promotions, Simai Mohammed Said akizungumza katika mkutano huo wa waandishi wa habari (hawapo pichani). Kulia kwake ni Balozi wa wa Uswis nchini Bi. Tinguely Mattli na kushoto kwake ni Mwakilishi wa Balozi wa Norway... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More