TAMASHA LA TIGO FIESTA 2018 LAFANA MJINI IRINGA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAMASHA LA TIGO FIESTA 2018 LAFANA MJINI IRINGA

 Msanii Maua Sama akiwa kwenye jukwaa la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote usiku wa kuamkia Jumatatu tamasha lililofanyika kwenye uwanja wa Samora Mjini Iringa.Umatu wa wakazi wa Iringa waliojitokeza kwenye Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote usiku wa kuamkia Jumatatu tamasha lililofanyika kwenye uwanja wa Samora Mjini Iringa.Mkuu wa Wilaya ya Iringa , Richard Kasesela akilishwa keki na msanii Chege ambaye usiku wa Tigo Fiesta mjini Iringa ilikuwa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa. Mkuu wa Wilaya ya Iringa , Richard Kasesela (mbele kulia) akicheza pamoja na wasanii waliotoa burudani kwenye Tamasha Kubwa la Tigo Fietsa 2018 Vibe Kama Lote uwanja wa Samora Mjini Iringa Usiku wa kuamkia jumatatu.
Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote 2018 limeendelea usiku wa kuamkia jumatatu kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa. Hii ni mara ya tatu mfululizo kwa kampuni ya simu za mkononi Tigo kudhamini tamasha hilo.
Akizungumza mbele ya umati wa mashabiki waliohudhuria tamasha hilo Mkuu wa wilaya ya Iringa mj... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More