Tamasha la Tigo Fiesta 2019 Saizi yako lafana Sumbawanga - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tamasha la Tigo Fiesta 2019 Saizi yako lafana SumbawangaMsanii wa Bongofleva Barnaba akiwajibika jukwaani wakati akitumbuiza kwenye Tamasha la Tigo Fiesta SIZe Yako liliofanyika jana mjini Sumbawanga
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Joriii akiitawala jukwaa la Tigo Fiesta 2019 Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia laeo
Msanii wa Bongofleva Barnaba akiwajibika jukwaani wakati akitumbuiza kwenye Tamasha la Tigo Fiesta SIZe Yako liliofanyika jana mjini Sumbawanga

 

Msanii wa bongoflava Jay Melody akiwa jukwaani katika tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia leo mjini Sumbawanga
Msanii Badest akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta sumbawanga jana
Mtangazaji wa kipindi cha Double XXL kinachorushwa na radio ya crouds fm ambaye alikuwa moja washereheshaji katika tamasha la Tigo Fiesta Sumbawanga akiwa na wapenzi wa kipndi hicho kutoka Sumbawanga
Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Dr Alfani Haule akiburudika na mziki katika jukwaa la Tigo Fiesta.
Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Dr Alfani Haule akiwa na mtangazaji wa Double XXL katika jukwa... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More