Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote lafana Mkoani Mjini Songea (Picha) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote lafana Mkoani Mjini Songea (Picha)

Likiwa limeingia mkoa wanne Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote limefana na kuacha alama kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea mkoani Ruvuma usiku wa kuamkia jana, Kabla ya kuingia mkoani humo Tamasha hilo lililoanzia Mkoa wa Morogoro limepita mikoa ya Rukwa, Iringa, Songea na kuelekea Mtwara jumapili hii.

Msanii wa muziki wa hip hip Zaid akionyesha makeke yake mbele.


Akifungua Tamasha hilo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme aliyeongozana na mkuu wa wilaya ya Songea Mjini Mhe. Pololite Mgema alisema Tunawashukuru Kampuni ya Tigo na Clouds Media kwa kutuletea tamasha hili kubwa mkoani kwetu.


“Hii si kwa burudani pekee bali ni fursa kwa wakaazi wa mkoa huu kwa kuwawezesha kwa kuwaongezea kipato kwa kipindi hiki chote cha wiki nzima .Niendelee kuwapongeza tena Tigo na Clouds Media na kuwaomba mwakani msiache kuja tena kwenye mkoa wetu.

Nyomi ya wakazi wa Songea


Kwa upande wa burudani, ilianza kwa kumpata mshindi wa shindano la kusaka vipaji la Tigo Supa Nyota kwa kumuibua Msa... Continue reading ->Source: Bongo5Read More