TAMASHA LA URITHI FESTIVAL LAMEZINDULIWA RASMI MKOANI ARUSHA - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAMASHA LA URITHI FESTIVAL LAMEZINDULIWA RASMI MKOANI ARUSHA


Ngoma ya Kabila la wamaasai wakiimba katika Tamasha la Urithi Festival lililozinduliwa  Jijini Arusha Katika uwanja wa Shekhe Amri Abeid .Picha na Vero Ignatus.Baadhi ya washiriki wakila ugali wa asili na mlenda katika tamasha la urithi festival katika uwanja wa shekh Amri Abeid Jijini Arusha na Vero Ignatus.Katibu mkuu Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Suzan Mlawi akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Arusha katika Tamasha la Urithi Festival lililozinduliwa mkoani Arusha. Picha na Vero IgnatusKatibu mkuu Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Suzan Mlawi akiwa katika moja ya banda wanalotengeneza vitu vya asili. Picha na Vero Ignatus. Kutoka katikati ni Katibu mkuu wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Suzan Mlawi, kulia kwake ni Mkurugenzi mkuu wa Makumbusho ya Taif a Profesa Audix Mabula ambaye pia ni Mwenyekiti wa maandalizi ya Tamasha la Urithi, akifuatiwa na Katibu tawala wa Mkoa wa Arusha Richard Kwitega. (Picha na Vero Ignatus). Kushoto ni Mkurugenzi wa Mak... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More