TAMASHA LA WAJASILIAMALI KUFANYIKA OKTOBA 13 KINONDONI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAMASHA LA WAJASILIAMALI KUFANYIKA OKTOBA 13 KINONDONI

Mwenyekiti wa jukwaa la kuwezesha mwanamke wilaya ya ubungo Hidaya Njaidi akizungumza jijini Dar es Salaam leo na MICHUZI BLOG wakati akihamasisha wanawake na wananchi kwa ujumla kwenda kwenye tamasha la wajasiliamali litakalofanyika Oktoba 13 mwaka huu kinondoni jijini Dar es Salaam.
CHAMA cha wajasiliamali Tanzania kinatarajia kufanya tamasha kubwa la wajasiliamali litakalofanyika Oktoba 13 mwaka huu kinondoni jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kutambulisha tamasha hilo Mwenyekiti wa chama cha malkia wa nguvu, Grace Mpanduka amesema kuwa tamasha hili litawasaidia wajasiliamali kuonyesha bidhaa zao za mikono.
Pia amesema kuwa katika tamasha hilo kutakuwa na wajasiliamali mbalimbali watakao toa ushuhuda kuhusiana na ujasiliamali pia kutakuwa live bendi kutoka kwa msanii wa taarabu Isha Mashauzi.
Kiingilio cha tamasha hilo kwa viti maalumu VIP ni shilingi 40,000/= na viti vya kawaida ni shilingi 20,000/=
Nae Mwenyekiti wa jukwaa la kuwezesha mwanamke wilaya ya ubungo Hidaya Njaidi a... Continue reading ->



Source: Issa MichuziRead More