TAMBWE ALIVYOZINDUKA YANGA IKIICHAPA SINGIDA UNITED 2-0 JANA TAIFA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAMBWE ALIVYOZINDUKA YANGA IKIICHAPA SINGIDA UNITED 2-0 JANA TAIFA

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akimtazama kipa wa Singida United, David Kissu baada ya kuokoa jana wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya timu hizo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0 mabao yote akifunga Amissi Tambwe.  
Mshambuliaji wa Yanga, Matheo Anthony akifumua shuti jana 
Kiungo Ibrahim Ajib akipoga pasi ya juu  
Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke (kushoto) akipambana na wachezaji wa Singida United
Kikosi cha Yanga kwenye mchezo wa jana 
Kikosi cha Singida United kwenye mchezo wa jana... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More