Tamisemi wapokea magari ya sekta ya Afya - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tamisemi wapokea magari ya sekta ya Afya

OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imekabidhiwa msaada wa magari sita na shirika la USAID Global Health Supply Chain, yatakayopelekwa katika halmashauri mbalimbali nchini ili kusaidia utoaji wa huduma za afya. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi magari hayo Waziri wa nchi ofisi ya ...


Source: MwanahalisiRead More