TAMISEMI yapokea magari mawili kutoka USAID Boresha Afya - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAMISEMI yapokea magari mawili kutoka USAID Boresha Afya


 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo akizungumza wakati wa kupokea msaada wa magari mawili katika wizara hiyo yatakayotumika katika mikoa ya Lindi na Mtwara kupitia mradi wa USAIDS Boresha Afya Kanda ya Kusini. Kaimu Mkurugenzi mkazi wa USAID Tanzania David Thompson akizungumza kuhusu wanavosimamia miradi mbalimbali ya USAID hapa nchini Tanzania wakati wa hafla fupi ya kukabidhi magari mawili kwa Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Mkurugenzi wa Deloitte Consulting LTD, Carlton Jones akizungumza kuhusu wanavyosimamia mradi wa USAID Boresha Afya kanda ya Kusini unaotekelezwa katika halmashauri 43 kwenye mikoa ya Iringa, Njombe, Morogoro, Lindi, Mtwara na Ruvuma wakati wa kutoa msaada wa magari mawili kwa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More