TANASHA AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA ALIKIBA, ATOBA ALIVYOJIKUTA KWA DIAMOND - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TANASHA AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA ALIKIBA, ATOBA ALIVYOJIKUTA KWA DIAMOND

Akizungumza kwenye kipindi cha Block 89 kinachorushwa na kituo cha televisheni Wasafi, Tanasha Donna ambaye yupo kwenye uhusiano wa kimapenzi na Diamond Platnumz alisema hajawahi kuwa na mahusiano ya karibu na msanii Alikiba.


Tanansha ambaye ameshiriki kwenye video ya wimbo Nagharamia wa Alikiba, akizungumzia tetesi kuwa aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki Alikiba kabla ya kukutana na Diamond, alisema siyo kweli na hakuwa kuwa na mawasiliano naye baada ya kazi.

“Wakati tunarekodi mpenzi wangu wa zamani alikuwa hapo anasubiri nimalize kazi na kina Alikiba na Christian Bella. Ni mara ya kwanza na ya mwisho nilikutana na Alikiba pale,” alisema.

Mwanamuziki huyo alisema kwa mara ya kwanza alikutana na Diamond katika club ya usiku jijini Nairobi na mwisho wa siku alimfuata kwa kumuandikia ujumbe katika mtandao wa Instagram.

“Aliponitafuta Instagram nilishtuka kwa sababu Diamond ni staa, nikajiuliza ni wangapi anawafuata kwa staili hiyo lakini baadaye nikagundua kuwa ni mt... Continue reading ->

Source: Mwanaharakati MzalendoRead More