TANESCO ARUSHA YAKAMATA NGUZO 17 VISHOKA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TANESCO ARUSHA YAKAMATA NGUZO 17 VISHOKA

 Na Wankyo Gati, Arusha
Shirika la umeme Mkoani Arusha TANESCO limekamata Zaidi ya nguzo kumi na saba kwa kipindi cha miezi sita ambazo zimekuwa zikiwekwa na vishoka ambao wamekuwa wakijihusisha na wizi wa miundombinu ya umeme katika maeneo ya Murieti na Usa riva Mkoani Arusha.
Ambapo amesema kuwa vitendo vyaa uharibifu wa miundombinu ya umeme tanesco yamekuwa yakishika kasi siku hadi siku licha ya oparesheni zinazofanywa za kukamata vishoka hao bado changamoto hiyo imekuwa ikishindikana kupatikana ufumbuzi juu suala hizo.
 Hayo yameeelezwa leo Afisa usalama wa shirika la umeme  tanesco Arusha Dominic Nerrey wakati wa kuendesha opereshen ya kuondoa nguzo zote ambazo haziko kwenye raman ya umeme wa shirika hilo ili kuweza kuboresha upatikanaji wa umeme wa uhakika kwa wananchi katika eneo la Murieti katika jiji la Arusha.
Aliongeza kuwa  kuwa oparesheni ya kukamata na kuwafikisha katika mikono ya sheria ili uweza kukomesha viteno hivi ambavyo vimekuwa vikilitia shirika hasa kubwa vishoka... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More