TANESCO MANYARA KUWACHUKULIA HATUA KALI WALE WOTE WANAOHUJUMU MIUNDOMBINU - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TANESCO MANYARA KUWACHUKULIA HATUA KALI WALE WOTE WANAOHUJUMU MIUNDOMBINU

Maneja wa Tanesco mkoa wa Manyara Gerson Manase akiongea na waandishi wa habari hawapo kwenye picha hivi karibuni katika kampeni ya kuhamasisha wananchi kuacha kufanya shughuli za kibinadamu karibu na miundombinu ya shirika hilo.
Na Mwandishi Wetu,
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa Manyara limewatahadharisha wakazi wanaoendelea kufanya shughuli za kibinadamu karibu na miundombinu ya shirika hilo na kusema kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.
Tahadhari hiyo imetolewa na meneja wa Tanesco mkoa huo hivi karibuni, Gerson Manase kupitia kampeni maalumu inayofanywa na Tanesco makao makuu ikiwa na lengo la kuhamasisha juu ya athari za kuhujumu miundombinu ya shirika na kufanya shughuli karibu.
“Kuanzia sasa mkazi yoyote atakaye kiuka sheria na kufanya shughuli za kibinadamu karibu na miundombinu ya umeme, tutafyeka mazao yake yote na hatua nyingine za kisheria zitafuata,” alisema meneja huyo
Kwa sasa Tanesco Manyara inahudumia wilaya tatu ikiwemo Babati, Mbulu na Kateshi ambapo k... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More