Tanesco, REA wapigwa marufuku kuagiza vifaa nje - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tanesco, REA wapigwa marufuku kuagiza vifaa nje

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) limetakiwa kusitisha uagizaji wa viunganishi vya miundombinu ya umeme (Accessories) kutoka nje ya nchi ifikapo mwezi Novemba mwaka huu. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea) Agizo hilo lilitolewa jana tarehe 6 Agosti, 2018 na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani wakati alipotembelea Kiwanda cha uzalishaji ...


Source: MwanahalisiRead More