TANESCO YAMSAIDIA KIJANA ANAYEISHI KWA MSADA WA MASHINE YA OXYGEN - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TANESCO YAMSAIDIA KIJANA ANAYEISHI KWA MSADA WA MASHINE YA OXYGEN

NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidKIJANA anayeishi kwa msaada wa mashine ya Oxygen ili kumuwezesha kupumua, Bw. Hamad Awadhi amelishukuru Shirika la Umeme Nchini TANESCO kwa kumpunguzia mzigo wa gharama za umeme kwa kumlipia bili ya umeme wenye gharama ya Shilingi Milioni 1,500,000/=/.
Kijana huyo ambaye anaishi eneo la Ukonga Majumba Sita jijini Dar es Salaam, alisema madaktari walimueleza kuwa mapafu yake yameharibika na hawezi kuishi bila ya kutumia msada wa mashine ya oxygen na kwamba mashine hiyo inayotumia umeme, amekuwa akilipia bili ya umeme shilingi 45,000/= kila wiki.“Kwaniaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Dkt. Tito Mwinuka, tumeguswa baada ya kupata taarifa za maradhi yanayokusumbua, tumekuja kukupa pole na kukuombea kwa Mwenyezimungu, lakini sisi kama Shirika linalotoa huduma katika jamii,  tumeona tunaweza kufanya kitu  kidogo hata kama si kumaliza tatizo basi hata kupunguza ili uone kwamba licha ya matatizo yanayokukabili jamii iko nawe na inakujali.” Kaimu Meneja Uhusianbo ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More