#TANO ZA JUMA #23 2018; Siri Za Matajiri, Njia Tano Za Kukuza Biashara Yako, Upo Tayari Kutoa Nini Kafara Na Neno Linalopatikana Kwenye Kamusi Ya Wapumbavu Pekee. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#TANO ZA JUMA #23 2018; Siri Za Matajiri, Njia Tano Za Kukuza Biashara Yako, Upo Tayari Kutoa Nini Kafara Na Neno Linalopatikana Kwenye Kamusi Ya Wapumbavu Pekee.

Rafiki yangu mpendwa, Juma namba 23 linakwisha kama lilivyoanza, ila nina imani kubwa kwamba halijakuacha kama lilivyokukuta. Kama umekuwa rafiki mwaminifu kwangu, na kama umechagua tu kufanyia kazi machache kati ya mengi ninayokushirikisha kila siku ya juma, basi najua ulipo leo siyo sawa na ulipokuwa wakati juma hili linaanza. Hata kama hujaanza kuona matokeo mazuri,... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More