#TANO ZA JUMA #27 2018; Uza Au Utauzwa, Sababu 7 Kwa Nini Naandika Kila Siku, Uhuru Wa Kifedha Kwako Una Maana Gani Na Shinda Kweli Au Teseka Kweli. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#TANO ZA JUMA #27 2018; Uza Au Utauzwa, Sababu 7 Kwa Nini Naandika Kila Siku, Uhuru Wa Kifedha Kwako Una Maana Gani Na Shinda Kweli Au Teseka Kweli.

Rafiki yangu mpendwa, Juma namba 27 la mwaka huu 2018 linakwisha kama lilivyoanza. Imani yangu ni kwamba japo juma hili linaisha, hatua ulizopiga na yale uliyojifunza yataendelea kuwa na manufaa kwenye maisha yako. Maana kanuni pekee ya mafanikio unayopaswa kuiishi ni hii; MAARIFA SAHIHI + KUCHUKUA HATUA KUBWA = MAFANIKIO MAKUBWA. Kila juma lazima ujifunze... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More