#TANO ZA JUMA #37 2018; Jinsi Ya Kununua Wateja Kwenye Biashara Yako, Hatua Nane Za Kutoka Chini Mpaka Mafanikio Makubwa, Jinsi Ya Kuongeza Kipato Chako Kila Mwezi Na Kama Hujisikii Vizuri Ni Tatizo Lako. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#TANO ZA JUMA #37 2018; Jinsi Ya Kununua Wateja Kwenye Biashara Yako, Hatua Nane Za Kutoka Chini Mpaka Mafanikio Makubwa, Jinsi Ya Kuongeza Kipato Chako Kila Mwezi Na Kama Hujisikii Vizuri Ni Tatizo Lako.

Rafiki yangu mpendwa, Juma jingine zuri sana kuwahi kutokea kwenye maisha yetu, juma la 37 kwa mwaka huu 2018 linatuaga. Japo juma hili linaisha, alama tulizoweka kwenye maisha yetu na ya wale wanaotuzunguka zitadumu na sisi milele. Na kama kuna uzembe tuliofanya kwenye juma hili, tutaujutia maisha yetu yote, lakini kama tutalifanya juma tunalokwenda kuanza... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More