#TANO ZA JUMA #38 2018; Jinsi Ya Kuendesha Nchi, Aina Mbili Za Akaunti Ya Kifedha Kwako, Jilazimishe Kuishiwa Na Jinsi Unavyoweza Kupata Chochote Unachotaka. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#TANO ZA JUMA #38 2018; Jinsi Ya Kuendesha Nchi, Aina Mbili Za Akaunti Ya Kifedha Kwako, Jilazimishe Kuishiwa Na Jinsi Unavyoweza Kupata Chochote Unachotaka.

Rafiki yangu mpendwa sana, Kama kuna kipengele cha makala nyingi ninazoandika kila juma ambacho huwa nakisubiri kwa hamu, basi ni kipengele hiki cha #TANO ZA JUMA, kwa sababu ni makala ambazo nakupa mambo mengi kwa wakati mmoja, na yote yanakuwa na msaada mkubwa kwako kama utayafanyia kazi. Nakushirikisha sindano tano muhimu sana ambazo ukizifanyia kazi... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More