#TANO ZA JUMA #40 2018; Juma La Ustoa Na Misingi Kumi Ya Maisha Ya Furaha, Hatua Za Kuchukua Pale Unaposhindwa Kwenye Kila Unachofanya, Utajiri Na Falsafa, Na Usifuate Njia, Tengeneza Njia. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#TANO ZA JUMA #40 2018; Juma La Ustoa Na Misingi Kumi Ya Maisha Ya Furaha, Hatua Za Kuchukua Pale Unaposhindwa Kwenye Kila Unachofanya, Utajiri Na Falsafa, Na Usifuate Njia, Tengeneza Njia.

Rafiki yangu mpendwa, Juma jingine la mwaka huu 2018 limeshamalizika, ni juma namba 40 na hivyo tumebakiwa na majuma 12 pekee kwenye mwaka huu ambao tuliuanza kitambo siyo kirefu na kupanga makubwa sana kwenye mwaka huu. Ni matumaini yangu kwamba kadiri majuma yanavyokatika, ndivyo na wewe unavyotekeleza mipango uliyojiwekea kwenye mwaka huu. Na kama unalitumia... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More