#TANO ZA JUMA #45 2018; Barua Kutoka Gerezani Kuhusu Maisha Na Mafanikio, Mteja Muhimu Ambaye Hupaswi Kumpoteza, Fedha Ni Zao La Hamasa Na Ijue Thamani Ya Muda. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

#TANO ZA JUMA #45 2018; Barua Kutoka Gerezani Kuhusu Maisha Na Mafanikio, Mteja Muhimu Ambaye Hupaswi Kumpoteza, Fedha Ni Zao La Hamasa Na Ijue Thamani Ya Muda.

Rafiki yangu mpendwa, Juma jingine la mwaka huu 2018 linaelekea kutuacha, ni juma namba 45, juma ambalo nina hakika limekuwa bora sana kwako, kwa sababu umejifunza, umechukua hatua na umepata matokeo ambayo yamekufundisha zaidi au kukupa hamasa zaidi. Kumbuka kwenye maisha hakuna kushindwa mpaka pale unapoamua kukata tamaa mwenyewe. Haijalishi umekutana na magumu kiasi gani,... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More