TANTRADE WAIBUKA WASHINDI WA TATU MAONESHO YA KILIMO KITAIFA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TANTRADE WAIBUKA WASHINDI WA TATU MAONESHO YA KILIMO KITAIFA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa akimkabidhi Cheti  Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE Bw. Edwin Rutageruka baada ya Banda la TanTrade "Business Clinic" kuibuka Mshindi wa Tatu kwenye Maonesho ya Kilimo Kitaifa (Nane Nane 2018) yaliyofanyika Mjini Bariadi Mkoani Simiyu. Banda hilo lilizijumuisha Taasisi za Udhibiti za Serikali kwa lengo la kutatua changamoto za Wakulima, Wavuvi, Wafugaji na Wafanyabiashara waliotembelea Maonesho hayo yaliyovutia Wananchi wengi.


Source: Issa MichuziRead More