“Tanzania inakwenda AFCON”-Amunike - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Tanzania inakwenda AFCON”-Amunike

Taifa Stars inaendelea na maandalizi ya mchezo wa kufuzu fainali za mataifa ya Afrika AFCON 2019 dhidi ya Uganda mchezo ambao umepangwa kufanyika siku ya Jumapili March 24, 2019 kwenye uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa 12:00 jioni.


Kocha mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike amesema mbele ya waandishi wa habari kwamba anafahamu kiu ya watanzania pia amesema kwa morali aliyoiona kwa wachezaji wake siku za karibuni anaamini watanzania watafurahi na kupata wanachotegemea.Source: Shaffih DaudaRead More