Tanzania Kuendelea Kunufaika Kiuchumi na SADC - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tanzania Kuendelea Kunufaika Kiuchumi na SADC


Katibu Mkuu mstaafu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Mussa Uledi akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa weledi katika kuandika na kuripoti habari zinazohusu Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) yanayoendelea mjini Morogoro leo Julai 9, 2019 ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo hayo yaliyofunguliwa Julai 8, 2019 na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza. Sehemu ya washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa weledi katika kuandika na kuripoti habari zinazohusu Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika yanayoendelea mjini Morogoro leo Julai 9, 2019 ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo hayo yaliyofunguliwa Julai 8, 2019 na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari- MAELEZO Bi Zamaradi Kawawa akisisitiza jambo wakati wa ma... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More