TANZANIA KURATIBU MAADHIMISHO YA SIKU YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AFRIKA KWA MWAKA 2019 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TANZANIA KURATIBU MAADHIMISHO YA SIKU YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AFRIKA KWA MWAKA 2019

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma naUtawala Bora, Kapt (Mst) Mhe. George Mkuchika (Mb), akizungumza navyombo vya habari jijini Dododma kuhusu Maadhimisho ya Wiki yaUtumishi wa Umma kwa mwaka 2019. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. MaryMwanjelwa.Baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi yaRais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst)Mhe. George Mkuchika (Mb), alipokuwa akizungumza nao kuhusuMaadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2019.

Serikali ya Tanzania kupitia Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Ummana Utawala Bora, inaratibu maadhimisho ya Siku ya Utumishi wa Umma
Barani Afrika kwa mwaka 2019 ambayo hufanyika mara moja kila baada yamiaka miwili katika nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU).Akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma, Waziri wa Nchi, Ofisi yaRais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe.
George ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More