TANZANIA KUSHAWISHI NCHI ZA SADC KUPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI . - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TANZANIA KUSHAWISHI NCHI ZA SADC KUPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI .

Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Udhibiti wa Uchafuzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Raisi  Kemilembe Mutasa katika mkutano huo wa wataalamu kutoka nchi za SADC wamekua wakizishawishi nchi mwanachama kuridhia itifaki ya hifadhi ya mazingira ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku matumizi  ya mifuko ya plastiki. 


Na Vero Ignatus, Arusha.
Tanzania ni miongoni mwa nchi 16 wanachama wa SADC ,wanaotekeleza mkakati wa SADC pamoja na programu ya Mazingira na Mabadiliko ya tabianchi, sambamba na sera ya mazingira ya mwaka 1997 pamoja na sheria ya usimamizi wa mazingira ya mwaka 2004 na kanuni zake.

Katika kutekeleza programu ya kuhimili mabadiliko ya tabianchi katika SADC, ni pamoja na kuwajengea uwezo nchi wanachama kuhimili na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi,kubadilishana ujuzi wa uzoefu katika masuala ya kuhifadhi mazingira, na kufanya tafiti katika vyuo vikuu ili kupata suluhisho la changamoto za mazingira na mabadiliko ya tabianchi.


Hata hivyo Wataalaalamu wa... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More