TANZANIA KUTUMIA ZOEZI LA KUPIMA UTAYARI KUKABILI MAGONJWA YA MLIPUKO MIPAKANI, KUCHAGIZA UTEKELEZAJI WA DHANA YA AFYA MOJA NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TANZANIA KUTUMIA ZOEZI LA KUPIMA UTAYARI KUKABILI MAGONJWA YA MLIPUKO MIPAKANI, KUCHAGIZA UTEKELEZAJI WA DHANA YA AFYA MOJA NCHINI


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu, akisisitiza umuhimu wa Sekta za Afya kutumia Dhana ya Afya moja, wakati akifungua zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani, leo mpakani mwa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga, tarehe 11 Juni, 2019. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, (Watu wenye Ulemavu), Mhe. Stella Ikupa, akitoa hotuba wakati wa mkutano wa kufungua zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani, leo mpakani mwa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga, tarehe 11 Juni, 2019. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu, akisisitiza umuhimu wa Sekta za Afya kutumia Dhana ya Afya moja, wakati akiongea na Waandishi wa Habari mara baada ya kufungua zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashar... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More