Tanzania: Mwanasiasa Tundu Lissu aruhusiwa kutoka hospitalini Ubelgiji - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tanzania: Mwanasiasa Tundu Lissu aruhusiwa kutoka hospitalini Ubelgiji

Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka hospitalini alikokuwa anapokea matibabu Ulaya na sasa ataendelea kupata nafuu akiwa nyumbani.


Source: BBC SwahiliRead More