Tanzania na Kenya zazindua kituo cha forodha cha pamoja - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tanzania na Kenya zazindua kituo cha forodha cha pamoja

Rais wa Tanzania Dkt.John Magufuli na Rais wa kenya Uhuru Kenyatta wamefungua kituo cha forodha cha pamoja katika eneo la Namanga upande wa Tanzania na Kenya.


Source: BBC SwahiliRead More