Tanzania yaanza kupata kibano cha kimataifa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tanzania yaanza kupata kibano cha kimataifa

KIBINYO kinachotokana na hatua ya serikali kugandamiza demokrasia nchini, kimeanza kuutafuna utawala wa sasa. Anaripoti Mwandishi Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa kutoka mataifa kadhaa ya Marekani na Ulaya zinasema, karibu mataifa yote ya maeneo hayo, ikiwamo Sweden, yanaitilia shaka amani ya Tanzania na kupoteza sifa ya kuwa baba wa demokrasia Afrika, tofauti na ilivyokuwa miaka sita ...


Source: MwanahalisiRead More