Tanzania yafanya kweli tenisi Afrika - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tanzania yafanya kweli tenisi Afrika

Timu ya Tanzania imesonga mbele katika mashindano ya tenisi ya Afrika, baada ya wachezaji Rashid Ramadhani na Kanuti Alangwa, kufuzu hatua ya robo fainali kwenye viwanja vya Klabu ya Gymkhana, Dar es Salaam.


Source: MwanaspotiRead More