Tanzania yaibuka kidedea nafasi ya pili Kombe la Dunia la watoto - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tanzania yaibuka kidedea nafasi ya pili Kombe la Dunia la watoto

Timu ya wasichana wa Tanzania wanaoishi katika mazingira magumu, imemaliza katika nafasi ya pili kwenye mashindano ya Kombe la Dunia kwa watoto, mchezo uliofanyika leo Jumatano saa 5 asubuhi jijini Moscow, Urusi baada ya kufungwa na Brazil bao 1-0.


Source: MwanaspotiRead More