TANZANIA YAJITOSHELEZA KWA CHAKULA MIAKA MITANO MFULULIZO-DKT TIZEBA - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TANZANIA YAJITOSHELEZA KWA CHAKULA MIAKA MITANO MFULULIZO-DKT TIZEBA


Waziri wa Kilimo, Dkt Charles Tizeba (Mb) akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani Kitaifa ambayo yamefanyika kwenye viwanja vya JK Nyerere katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma Leo tarehe 16 Octoba 2018. (Picha Zote Na Mathias Canal,WK)Kikundi cha ngoma ya asili cha Mkoani Songwe kikitumbuiza mara baada ya waziri wa Kilimo, Dkt Charles Tizeba (Mb) kuwasili kuhitimisha kilele cha maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani Kitaifa ambayo yamefanyika kwenye viwanja vya JK Nyerere katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma Leo tarehe 16 Octoba 2018.Waziri wa Kilimo, Dkt Charles Tizeba (Mb) akitoa salamu za Rais John Pombe Magufulu wakati akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani Kitaifa ambayo yamefanyika kwenye viwanja vya JK Nyerere katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma Leo tarehe 16 Octoba 2018.Sehemu ya wananchi wakifatilia hotuba ya waziri wa Kilimo, Dkt Charles ... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More