TANZANIA YANG'ARA KUANDAA KONGAMANO LA WATAALAMU WA MAGONJWA YA DAMU (HAEMATOLOGY) BARA LA AFRIKA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TANZANIA YANG'ARA KUANDAA KONGAMANO LA WATAALAMU WA MAGONJWA YA DAMU (HAEMATOLOGY) BARA LA AFRIKA

Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Damu (Haematology), MUHAS Prof. Julie Makani (kulia) akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam kuelezea mafanikio ya kongamano la kwanza la wataalam wa magonjwa ya damu (Haematology) linalokutanisha watalaam wa Tanzania na Bara la Afrika kwa ujumla. Pembeni yake ni Msimamizi wa Mafunzo hayo Prof. Lucio Luzzatto. Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Msimamizi wa Mafunzo ya Wataalam wa magonjwa ya damu (Haematology) Prof. Lucio Luzzatto akionyesha chembe chembe zinazosababisha upungufu wa tamu mwilini wakati wakizungumza na wanahabari jijini  Dar es Salaam.
  Wataalam wa magonjwa ya damu (Haematology) kutoka mataifa mbalimbali duniani ikiwemo bara la Afrika wakiwa katika sherehe ya kukaribishwa nchini Tanzania.Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Tanzania yang'ara kwa nchi za Afrika kwa kuwa nchi pekee ya kwanza kuandaa kongamano linalowakutanisha wataalam wa magonjwa ya damu (Haematology) kutoka mataifa mbalimbali duniani.
Hayo yamezungumzwa na jij... Continue reading ->Source: KajunasonRead More