Tanzania yashinda tuzo ya utalii Urusi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tanzania yashinda tuzo ya utalii Urusi

NCHI ya Tanzania imeshinda tuzo ya utalii kwa mwaka 2018 nchini Urusi, katika kipengele cha eneo bora zaidi la utalii duniani (The Best Destination to the World in the Category of Exotic Destination 2018). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Tuzo hiyo ilipokelewa jana tarehe 21 Novemba 2018 na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Maj. Gen. ...


Source: MwanahalisiRead More