Tanzania yashtakiwa kesi 13, yadaiwa dola 185 milioni - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tanzania yashtakiwa kesi 13, yadaiwa dola 185 milioni

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amebainisha kuwa, mashauri 13 yenye jumla ya madai kiasi cha dola za Marekani 185.5 Milioni, yamefunguliwa dhidi ya serikali katika mahakama za kimataifa za usuluhishi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza bungeni jijini Dodoma leo tarehe 9 Novemba 2018, Prof. Kabudi amesema kesi hizo zimefunguliwa katika ...


Source: MwanahalisiRead More