Tanzania yayumba vivutio vya asili - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tanzania yayumba vivutio vya asili

SERIKALI imetaja sababu za Tanzania kushuka kwa nafasi tano, kutoka nafasi ya pili hadi ya nane katika orodha ya nchi zenye vivutio vya asili duniani. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akijibu swali la Mbunge wa Vunjo, James Mbatia leo tarehe 21 Mei 2019 bungeni jijini Dar es Salaam, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamiss Kigwangalla ...


Source: MwanahalisiRead More