Tanzania yazidi kupaa Kiuchumi - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tanzania yazidi kupaa Kiuchumi

Tanzania kati ya nchi 10 zinazokua kiuchumi ni ya Tisa na Nchi za Kusini Tanzania ni ya Nne na Afrika Mashariki ni ya kwanza ukuaji huo wa uchumi ni kutokana na ripoti ya Benki ya Dunia.

Akizungumza na waandishi habari wakati akitoa Salaam za Rais Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya habari Marketing Dkt. Hassan Abbas amesema kuwa katika miaka mitatu Tanzania imekuwa ikifanya vizuri.

Amesema kuwa katika ukusanyaji mapato umepanda kutoka sh.bilioni 850 mwaka 2015 hadi kufikia sh.Trioni 1.3.Amesema kuna mashirika yameweza kufanya kazi na katika ukusanyaji wa mapato ikiwemo Dawasa , TPA pamoja shirika la Posta.

Dkt. Abbas amesema zaidi ya viwanda 3000 vimesajiliwa na vingine kufanya kazi.Ajira zaidi ya 26000 zimepatikana kutokana na viwanda na kufanya
Kazi ya mahakama ya mafisadi imeanza na kazi mbalimbali zinafanyika .

Upande wa rushwa Tanzania ya pili kwa Afrika Mashariki ya pili katika mapambano ya rushwa.Tanzania imenunua ndege za saba na Nne tayari na Desemba ... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More