Tanzanite Queens yatema cheche ligi ya wanawake - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tanzanite Queens yatema cheche ligi ya wanawake

Mabao ya Tanzanite katika mchezo wa juzi Jumatano yaliwekwa kambani na Agness Pallangyo aliyetupia dakika ya 15, 17, 25 na 41, hivyo kumfanya kufikisha mabao matano katika michezo mitatu waliyocheza, kwani katika mchezo wa ufunguzi dhidi ya Singida alifunga bao moja na kuiwezesha timu hiyo kuondoka na ushindi wa mabao 2-1.


Source: MwanaspotiRead More