Tanzia: Mke wa Ephraim Kibonde afariki dunia - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tanzia: Mke wa Ephraim Kibonde afariki dunia

Mke wa Mtangazaji wa Clouds FM katika kipindi cha Jahazi, Ephraim Kibonde anayejulikana kwa jina la Sara Kibonde amefariki dunia.Kwa mujibu wa mtangazaji mwenzake, Gadner G. Habash amesema kuwa mke wa Kibonde aitwaye Sara amefariki usiku wa Jana akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Hindu Mandal.


The post Tanzia: Mke wa Ephraim Kibonde afariki dunia appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More