TANZIA: MSANII WA MAIGIZO NCHINI, MASHAKA AMEFARIKI DUNIA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TANZIA: MSANII WA MAIGIZO NCHINI, MASHAKA AMEFARIKI DUNIA

Na.Khadija Seif, Globu ya Jamiii.
Aliyewahi kuwa Msanii wa maigizo wa Kundi la Kaole Ramadhani Ditopile maarufu kama Mashaka amefariki dunia mapema Leo asubuhi katika hospitali ya Amana jijini Dar es salaam.
Aidha marehemu Mashaka aliwahi kuonekana kwenye maigizo akishirikiana na waigizaji kama mama Ambiliki,  Cheni, Kisa ,Zawadi akiwa ameshiriki maigizo kama fukuto,sayari, maisha na mingine mingi.
Akizungumza na  wanahabari msanii mwenzie Zawadi amethibitisha kifo hicho na kwa sasa haijafahamika shughuli za msiba zitafanyika wapi.
Na mpaka sasa familia ya marehemu imekaa Kwenye kikao na watatoa taarifa kamili kuhusu maziko ya marehemu mashaka.
Innallillah wahina illah rajuun.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More