TANZIA: RAIS MSTAAFU JK AONGOZA MAZISHI YA MSANII SAM WA UKWELI KIJIJINI KWAO KIWANGWA-BAGAMOYO, PWANI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TANZIA: RAIS MSTAAFU JK AONGOZA MAZISHI YA MSANII SAM WA UKWELI KIJIJINI KWAO KIWANGWA-BAGAMOYO, PWANI

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na msanii Chegge wakati wa maziko ya Msanii wa Mziki wa kizazi kipya Sam wa Ukweli kijijini kwao Bagamoyo. Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na waombolezaji. Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiwa na ndugu wa marehemu.Wasanii mbali mbali waliohudhulia maziko hayo.Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete leo ameongoza mazishi ya msanii Sam wa Ukweli  kijijini kwao Kiwangwa, Bagamoyo- Pwani.
Mbali na Rais Mstaafu JK, alikuwepo pia mwanae ambaye ni mbunge wa Bagamoyo, Ridhiwan Kikwete na wasanii mbali mbali waliojitokeza kwa wingi kumsindikiza mwenzao.
Msanii wa Sam wa Ukweli alifariki usiku wa Jumatano katika Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More