Taratibu Watanzania nje ya nchi kupiga kura hazijakamilika - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Taratibu Watanzania nje ya nchi kupiga kura hazijakamilika

SERIKALI imesema, bado inaangalia uwezekano kwa Watanzania waishio nje ya nchi, kupiga kura katika chaguzi mbalimbali zijazo. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 23 Mei 2019, bungeni jijini Dodoma na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati akijibu swali la Asha Abdul Juma, mbunge viti maalum (CCM)  aliyehoji, lini serikali itakamilisha utaratibu wa kuwezesha Watanzania wanaoishi ...


Source: MwanahalisiRead More