TARURA KUANZA KUTUMIA MFUMO MPYA WA MALIPO SERIKALINI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TARURA KUANZA KUTUMIA MFUMO MPYA WA MALIPO SERIKALINI

 Mhasibu Mkuu wa Serikali Bw. Francis Mwakapalila, akiwahimiza washiriki wa mafunzo ya Mfumo mpya wa Ulipaji Serikalini- MUSE, kutoka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini- TARURA, kuhakikisha wanauelewa na wanautumia ili kuiwezesha Serikali kupata taarifa za Fedha kwa wakati, katika ukumbi wa Hazina Ndogo mkoani Morogoro. Mtaalamu wa Mfumo wa Ulipaji Serikalini kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Ndewingia Mashauri, akitoa mafunzo kwa wahasibu na wahandisi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini- TARURA, kutoka maeneo mbalimbali nchini, mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Hazina Ndogo mkoani Morogoro. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini- TARURA, Mhandisi Victor Seff, akieleza uhitaji wa Mfumo wa ulipaji Serikalini katika Taasisi anayoiongoza ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa za fedha kwa urahisi, wakati wa mafunzo ya mfumo huo yaliyofanyika katika ukumbi wa Hazina Ndogo mkoani Morogoro. Washiriki wa mafunzo ya Mfumo wa Ulipaji Serikalini- MU... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More