TASWIRA YA FLYOVER YA TAZARA BAADA YA MAGARI KURUHUSIWA KUPITA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TASWIRA YA FLYOVER YA TAZARA BAADA YA MAGARI KURUHUSIWA KUPITA

Muonekano wa njia ya juu (flyover) katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela eneo la TAZARA jijini Dar es salaam baada ya magari kuruhusiwa kupita juu yake. Kufunguliwa kwa flyover hio kumepunguza adha ya foleni kwa kiwango kikubwa kiasi ya kwamba safari kutoka katikati ya jiji hadi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere hivi sasa huchukua si zaidi ya nusu saa badala ya masaa mawili au matatu ya awali. Picha na Muhidin Issa Michuzi.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More