Tatizo La Muda Siyo Kwamba Huna Wa Kutosha, Bali Unao Mwingi Mpaka Unaamua Kuupoteza. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Tatizo La Muda Siyo Kwamba Huna Wa Kutosha, Bali Unao Mwingi Mpaka Unaamua Kuupoteza.

Rafiki yangu mpendwa, Endelea kusoma hapa kama ulishawahi kukutana na hali za aina hii; Moja; umepewa kazia mbayo unapaswa kumaliza ndani ya siku tano. Siku ya kwanza unaanza kuifanya, lakini hujisikii sana kufanya, unaona haupo tayari na hata hivyo siku bado zipo. Siku ya pili unagusa kidogo sana, lakini hufanyi. Siku ya tatu unagundua muda... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More