TAWLA TANGA YAENDESHA MDAHALO WA WADAU WA MASUALA YA ARDHI MKOANI TANGA - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

TAWLA TANGA YAENDESHA MDAHALO WA WADAU WA MASUALA YA ARDHI MKOANI TANGA

 wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania Mkoani Tanga TAWLA Latifa Ayoub akisisitiza jambo wakati wa mdahalo wa wadau wa masuala la ardhi mkoani Tanga leo mjini Tanga kuhusu changamoto zinazowakabili wanawake kwenye kumiliki ardhi uliofanyika leo kwenye ukumbi wa YDC Jijini Tanga ukihusisha wadau kutoka maeneo mbalimbali ulioandaliwa na chama hicho  Mratibu wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania Mkoani Tanga TAWLA Latifa Ayoub kulia akisisitiza jambo wakati wa mdahalo wa wadau wa masuala la ardhi mkoani Tanga leo mjini Tangakuhusu changamoto zinazowakabili wanawake kwenye kumiliki ardhi kushoto ni Mwanasheria wa TAWLA Mkoani Tanga Mwanaidi Kombo ambapo mdahalo huo uliandaliwa na chama hicho Mwanasheria wa TAWLA Mkoani Tanga Mwanaidi Kombo akisisitiza jambo kwenye mdahalo huo Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba Tanga Doris Wilson Mangwe akizungumza katika mdahalo huo MWANASHERIA wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza mkoani Tanga katika Sigisbert Akwilini akiwa na wadau weng... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More